Tuesday, June 23, 2015

BABA NA MWANA

Mtoto na mapenzi yake kaamua kuichora gari ya babaake kwa screwdriver

Happy-Fathers-Day-BellaNaija
Mtoto anaweza kuonesha mapenzi yake waziwazi kwa njia yoyote ile japo mara nyingine kwa njia ambayo inakutia hasara ila ndio hivyo mtoto kaamua kukuonesha hivyohivyo upendo wake !!
Siku ya akina baba duniani imepita, nimekipata hiki kisa kingine ambacho kimechukua headlines mitandaoni… mtoto kachukua screwdriver alafu kachora kwenye gari ya baba yake >>> “Nampenda baba yangu (I love my dad)“>>>
Mtoto hata hajawaza yani kwamba hiki alichokifanya itabidi baba yake arudi gereji ili hiyo gari ipigwe rangi upya.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment