Mfanyabiashara wa tende na haluwa
nje ya msikiti wa Sunny mtaa wa Bondeni Arusha
akisubiri wateja. Kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
kwa Waislamu, tende hutumiwa kama kifungulia kinywa kabla ya kula kitu chochote
na kutajwa kuwa ni moja ya sunna kubwa.
No comments:
Post a Comment