North Korea imeamua haya kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii!!
North Korea wamechukua
hatua kali za kulinda siri za nchi baada ya kukerwa na vitendo vinavyo
ashiria uvujaji wa siri za nchi hio. Kwa muda sasa North Korea imekua
ikijitahidi kupambana na uvujaji wa taarifa kutoka nchini humo kwenda
kwenye mtandao wa Instagram ambao baada ya jitihada nyingi lengo lao
limetimia.
Hali sasa iko hivi watumiaji wa mtandao ya Instagram kupitia application ya ku-repost picha iitwayo Instagram Photo Sharing App wamezuiliwa
kushare post zozote zinazo ashiria uvujaji wa siri kutoka nchini himo,
na kwa mtu yoyote atakae jaribu kushare picha yoyote inayoashiria kua
picha ya kusambaza siri za ndani za nchi wanakutana na ujumbe unaosema; >>>“Onyo! Huwezi kuonganishwa na Website hii kwa sababu imezuwiwa kutumika na application hii”.
Baadhi
ya magazeti nchini humo yamesma kwamba maamuzi haya yametokana na mkasa
uliotokea June 11 ambako hoteli maarufu nchini humo yene jina Konyo Hotel ilishika
moto na kuungua, na licha ya nchi hio kuiweka ishu hio chini ya kapeti
baadhi ya wapiga picha walivujisha picha hizo inje ya nchi na kisha
picha hizo zika sambaa kwenye mtandao wa Instagram.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment