Monday, June 22, 2015

BUNGE LA PAKISTAN LAVAMIWA NA TALIBAN

Hali ilivyo baada ya Bunge kuvamiwa Pakistan leo June 22 2015 (Picha)


Bunge Paki ii
Hali sio nzuri Pakistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya kuvamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, mabomu na risasi vimetumika pia !!
Wavamiaji hawakuwa na nia njema, ripoti zinaonesha jamaa hao walikuwa sita na ni members wa Kundi la Taliban.
Polisi wamefanikiwa kuwaua jamaa hao ambao walikuwa na silaha pamoja na mabomu, hapa ninazo pichaz ambazo zinaonesha jengo la Bunge kwa ndani likiwa na moshi mzito.
Bunge Paki III
Bunge Paki
Bunge V
Wabunge wa Pakistan wakiwa nje ya eneo la Bunge baada ya Shambulio hilo.
Bunge
Wavamiaji hao walilipua gari moja nje ya Jengo la Bunge kabla ya kuvamia ndani !! Watu 18 wameumia kwenye tukio hilo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment