Thursday, June 25, 2015

AFA SIKU TATU BAADA YA KUOA

AFARIKI SIKU 3 BAADA YA NDOA

Mkazi wa Birmingham Uingereza , Omar Al Shaikh amefariki  kutokana na Saratani ya damu Lukaemia..
Omar  alimuoa  Amie Cresswell, wote wenye umri wa miaka 16,. wote wakiwa ni wakazi wa Banighram Uingereza.
 Jumatatu hii siku tatu tu baada ya kufunga pingu za maisha na Amie.
Omar aliaga dunia baada ya kukosa mtu ambaye damu yake inayoingiana na yake.
Omar alimchumbia Amie baada ya kufahamishwa na madaktari kuwa alikuwa na siku 5 tu za kuishi.
Mamake  Mirabela anasema kuwa alijizatiti  na kupanga kila kitu alichotaka kifanyike''
Mwanajeshi huyo mtarajiwa Omar, aligunduliwa kuwa anaugua Lukemia baada ya kuanguka na kuzirai alipokuwa akicheza mpira.
Kutokana na asili yake ya Kirumi na Kiarabu ilikuwa vigumu sana kupata mtu mwenye chembechembe zitakazoingiana.
Mamake alisema tangu afahamishwe kuhusu kuzorota kwa hali yake ya siha mapema mwezi huu Omar amejitahidi kuwa mchangamfu hadi alipoaga dunia.
'null

No comments:

Post a Comment