Monday, June 22, 2015

VIMBWANGA VYA WALIMWENGU

Utaupenda huu usafiri wa Waziri wa Ugiriki.. sio Prado wala BMW yani !! (Pichaz)

Mwaka 2009 Kenya waliingia kwenye Headlines kuhusu ishu ya Ikulu ya nchi hiyo kununua magari ya kifahari na ikawa skendo kubwa sana kwa vile wakati magari yananunuliwa Rais Mwai Kibaki alikuwa likizo wakati huo… Bunge la Tanzania imesikika pia ishu ya kulalamikiwa kuhusu Serikali kutumia magari ya kifahari, stori iko tofauti sana toka Ugiriki.
Yanis Varoufakis ni Waziri wa Fedha wa Ugiriki, jamaa hata hana mambo mengi yani.. haitaji kuzinguana kwenye foleni barabarani wala nini, usafiri wake kwenda Ofisini ni pikipiki aka bodaboda !!
image (1)
image (2)
image (3)
image (4)
Ready to go !!! Hapo safari inaanza toka Ofisini.
image (5)
image (6)
Waziri sio mchoyo, kampa lift Euclid Tsakalotos ambae ni Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa wa Kiuchumi wa Ugiriki.
image (7)
Mheshimiwa Waziri kafunguliwa geti anaingia zake Ofisini mdogomdogo !!
imageKiutaratibu kabisa Kiongozi wa nafasi yake anatakiwa awe kwenye gari na awe na dereva wa kumwendesha, lakini huu ndio usafiri wa chaguo la moyo wake kabisa mtu wangu !!

No comments:

Post a Comment