Monday, June 29, 2015

TUNAKUSUBIRI MKUU WETU MTASSIWA

 Wakazi wa Magoma Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, wakimshangilia Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Hafsa Mtassiwa wakati alipofanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo vijiji vitatu, Magoma, Kwedizinga na Mnyuzi juzi.





No comments:

Post a Comment