Ujumbe wa kwanza aliopost Peter Cech baada ya kusajiliwa rasmi Arsenal
Hatimaye
golikipa Petr Cech ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Arsenal baada
ya kocha Arsene Wenger kufanikiwa kukamilisha usajili wa malipo ya
£10million Chelsea.
Golikipa
wa Czech Republic alifaulu vipimo vya afya siku ya Ijumaa asubuhi na
Leo rasmi ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal. 
Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha £100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuichezea Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani.
Muda mfupi baada ya kutambulishwa na Arsenal, Cech alitumia mtandao wa Twitter kuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.
No comments:
Post a Comment