Sunday, June 28, 2015

ZITTO KABWE ALIVYOUNGURUMA TANGA

 Wafuasi wa Chama Cha ACT- Wazalendo, wakimsikiliza kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe, wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhamasisha chama uliofanyika katika viwanja vya Tropikana Tanga .

 Wafuasi wa Chama Cha ACT-Wazalendo wamshangilia kiongozi wa chama hicho , Zitto Kabwe mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Tropikana Tanga juzi.



No comments:

Post a Comment