Monday, June 29, 2015

NKURUNZINZA AENDA KUPIGA KURU AKITUMIA BASKELI

Rais Nkurunziza alivyofika Kupiga kura kwenye Uchaguzi leo June 29 2015 Burundi.. (Pichaz)


Burundi
June 29 2015 Burundi wanafanya Uchaguzi Mkuu leo, lakini ishu ni kwamba Uchaguzi huo wa Wabunge unafanyika huku vyama vya Upinzani wakiwa wamesusia Uchaguzi huo.. kingine ni kwamba japo kumekuwa na machafuko ya muda mrefu kupinga Rais Piere Nkurunziza kugombea kwa mara ya tatu kwenye Uchaguzi huo lakini Ratiba inavyoonesha ni kwamba Uchaguzi wa Rais utafanyika mwezi July 2015.
Leo umefanyika Uchaguzi wa Wabunge, picha zilizoenea Mitandaoni zinamwonesha Rais Nkurunziza akiwa anaelekea kupiga kura akitumia usafiri wa baiskeli.
Piere II
Piere III
Piere

Burundi II
Pembeni ya vituo vya Kupigia kura walikuwepo Askari wakiwa na silaha kuhakikisha Usalama unakuwepo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment