Monday, June 22, 2015

WATOYO WAONGO WAKO NA AKILI ZAIDI, UTAFITI

Unajua watoto waongo wana kitu gani kizuri? Wataalam wamekuja na hili jibu !!

hqdefault
Kuna upande mwingine eti uongo ni kitu kizuri?? Wataalam wa Saikolojia Uingereza wamekuja na Ripoti yao nyingine mtu wangu.. eti ni kweli watoto wadogo ambao ni waongo wana uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu?
Wataalam waliwachukua watoto wenye umri kati ya miaka sita na saba na kuwafanyia majaribio ya kucheza game, baadae walipoulizwa kuhusu walivyocheza game majibu ikaonekana watoto ambao waliongea uongo wana uwezo mkubwa zaidi wa kutunza kumbukumbu kwa vile wanakumbuka kila kitu kuanzia cha uongo na cha ukweli walichokifanya!!
UK Lies
Una mtoto ambae ana tabia ya kuongopa? Kama akikudanganya basi ujue ana hii sifa nyingine nzuri mtu wangu !!
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment