Hizi ni hoteli 10 kongwe lakini bado ni za kifahari zaidi duniani
Mindombinu bora ni mj aya sababu inayofanya miji kukua kwa kasi sana hasa kwa nchi zinazoendelea duniani.
Katika pitapita zangi nimekutana na hizo hoteli kubwa na Maarufu
duniani ambazo nyingi zilijengwa wakati wa vita ya dunia lakini mpaka
sasa ni miongoni mwa hotel za kifahari kabisa duniani.
Zote zimekuwekea hapa na miaka iliyojengwa hoteli hizo
The Taj Mahal Palace ipo Mumbai, China–alijengwa mwaka 1903
Beverly Hills Hotel ipo Los Angeles, ilijengwa mwaka 1912
The Ritz ipo Paris, Ufaransa-ilijengwa mwaka 1898
Peninsula ipo Hong Kong, China-Ilijengwa mwaka 1928
The Plaza ipo New York,Marekani-Ilijengwa mwaka 1907
Raffles Hotel ipo Singapore-ilijengwa miaka 125 iliyopita
Claridge Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1898 wakati wa vita ya pili ya dunia
The Ritz Hotel ipo London, Uingereza-Ilijengwa mwaka 1906
Shelbourne Hotel ipo Ireland-Ilijengwa mwaka 1824
The Waldorf ipo New York, Marekani-Ilijengwa mwaka 1890
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumkuchablog
No comments:
Post a Comment