Saturday, September 12, 2015

KERO YA CHEMBA KUTIRIRISHA MAJI INAZIDI KUWA KERO, JIJINI TANGA

 Mkazi wa Mwamboni, Jonathan Hanfreys  akikilitazama Chemba eneo la Kwaminchi Flet kata ya Nguvumali Tanga likiwa linatiririsha maji machafu na kutoa harufu kali na kuwa kero kwa watumiaji wa  njia hiyo.
Chemba nyingi katikati ya jiji kumekuwa na kero ya Chemba kufurika na kutoa maji machafu jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele na watu wengi na hakuna jitihada za haraka kuchukuliwa.
Wadau na wanaharakati mjini Tanga wameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Tanga, kufanya jitihada za kurekebisha kero hiyo vyenginevyo magonjwa ya miripuko inaweza kuangamiza afya za watu.
Tazama picha hizi pale Kwaminchi eneo la Magorofani njia inakimbiwa na watu kubadilisha mwelekeo.




No comments:

Post a Comment