Wanawake 30 walikamatwa kwa kosa la kujiuza Nigeria, hukumu yao ni hii toka Mahakamani !!
Vitendo vya Wanawake kufanya biashara ya
kujiuza sio story ngeni kukutana nayo, nchi zimekuwa na maamuzi tofauti
kuhusu kesi ya Wanawake wanaofanya Biashara hiyo, Ujerumani hiyo ni
biashara halali na kuna maeneo maalum kabisa yametengwa kwa ajili ya
kufanya hizo shughuli !!
Nakuunganisha na Story kutoka Nigeria,
Wanawake 30 wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kukutwa
wakifanya Biashara haramu ya kujiuza… Mahakama ya Hakimu Mkazi Jiji la
Lagos imewahukumu wanawake hao kifungo cha wiki sita jela kwa kosa hilo.
Mahakama hiyo ilitoa adhabu hiyo ya
hukumu au Watuhumiwa hao walitakiwa kulipa faini ya Naira 10,000 ili
waepukane na adhabu ya kifungo… Naira 10, 000 ni kama Tshs. 108,000/=.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment