Thursday, September 17, 2015

MADARAJA MAREFU ZAIDI DUNIANI

Nimekusogezea hii List ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani


Moja ya miundombinu inayorahisisha usafirishaji ni pamoja na uimara wa madaraja, China ni miongoni mwa Mataifa makubwa duniani ambapo uchumi wake unazidi kukua pamoja na miundombinu yake..ndiyo nchi pekee inayoongoza kwa miundombinu ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa ubora duniani.
Hapa ninayo hii list ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa refu duniani…

1
1. Danyang Kunshan Grand Bridge-China

2
2. Tianjin Grand Bridge-Beijing China

3
3. Weinan Weihe Grand Bridge-China

4
4. Bang Na Expressway-Thailand

5
5. Beijing Grand Bridge-China

6
6. Lake Pontchartrain Causeway-USA

7
7. Manchac Swamp Bridge-China

8
8. Yangcun Bridge-China

9
9. Hangzhou Bay Bridge-China

10
10. Runyang Bridge-China
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment