Ugonjwa wa Ebola kwenye Headlines tena Sierra Leone…Idadi ya watu je?
Sierra Leone ni moja ya nchi
zilizoshambuliwa na ugonjwa wa kipindipindu kwa kiasi kikubwa, na Mwezi
Mei mwaka huu Serikali ya nchi hiyo ilitangaza kutokuwepo kwa ugonjwa
huo.
Taarifa nyingine zilizonifikia ni
idadi ya zaidi ya watu 1000 kuwekwa kwenye karantini baada ya
kugundulika mwanamke mmoja amefariki kwa ugonjwa huo.
Watu hao watakaa huko kwa muda wa wiki tatu ili kuepuka kuwaambukiza wenzao wakati uchunguzi ukiendelea kufanyika.
Watu Zaidi ya 11,000 wamefariki tangu kuanza kwa mlipuko wa Ebola nchini Sierra Leone, Guinea na Liberia.
Kumekuwa na matumaini baada ya kupita kwa kipindi kirefu bila kuwepo kwa ugonjwa huo na sasa hali imeanzaudia.Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment