Tuesday, June 9, 2015

APATA UJAUZITO MUME AKIWA NJE YA NCHI

Mwanamke alipata ujauzito wakati mume wake yuko nje ya nchi, 

p14pregnantwomanGETTYv2
Kuna stori
leo June 09 2015  inayomhusu mama mmoja ambaye ni mke wa mwanajeshi, mwanamke huyo alipata ujauzito wa mtu mwingine wakati mume wake kasafiri nje ya nchi.
Wakati mwanaume anakaribia kurudi, huku nako mwanamke anakaribia kujifungua.. mwanamke huyo  akaona awatafute rafiki zake ambao ni mtu na mpenzi wake ili wamsaidie kumtunza mtoto huyo mume wake asijue.
Haikuwa rahisi ombi lake kufanikiwa na kila alipoenda ndugu na jamaa walikataa kwani mbali ya kuficha siri hiyo lakini pia kunaweza kutokea zengwe na kuwa songombingo.
 

No comments:

Post a Comment