Unamchukuliaje mteja anaekuja dukani kwako na Milioni 200 alafu zote ni sarafu???
Story nyingine ni kama utani hivi ukivuta picha.. eti mteja kaja na Milioni 200 zote ni sarafu na anataka huduma yako kabisa !!
Story iko kwenye headlines toka Shenyang,
China… mteja kaingia showroom ambako wanauza magari na cash yake
mkononi, amejikusanyia dola 106,000 ambazo ni sawa na Mil. 232, ishu ni
kwamba hela zote ni sarafu, bora hata ingekuwa noti yani.
Jukumu lingine limewakuta wafanyakazi wa
showroom hiyo ambao walilazimika kuanza kushusha hela hizo kutoka
kwenye gari lililokuwa limebeba mzigo huo ambao ulizidi uzito wa tani
nne.
Kwa habari na matukio mengine mengineyo, ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment