Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Devid Chanyeghea, akiwaonyesha waandishi wa habari fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo amedai mpinzani wake aliongeza kipengele cha maandishi cha kugonbea Udiwani na Ubunge ambacho kilipelekea kuuzuiwa kugombea na kudai kuwa yeye ni mgombea wa Ubunge tu.
Friday, September 4, 2015
SAFARI YA MATUMINI IPO BUMBULI
Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), Devid Chanyeghea akizungumza na waandishi wa habari
kuzungumzia vipaumbele vyake wakati akianza kampeni baada ya Tume ya Uchaguzi
ya Taifa kumrejesha kugombea jimbo hilo baada ya kuwekewa pingamizi na mpinzani
wake. Kushoto ni Katibu wa Chadema Mkoa wa Tanga, Ismail Massoud
Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Devid Chanyeghea, akiwaonyesha waandishi wa habari fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo amedai mpinzani wake aliongeza kipengele cha maandishi cha kugonbea Udiwani na Ubunge ambacho kilipelekea kuuzuiwa kugombea na kudai kuwa yeye ni mgombea wa Ubunge tu.
Mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Devid Chanyeghea, akiwaonyesha waandishi wa habari fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo amedai mpinzani wake aliongeza kipengele cha maandishi cha kugonbea Udiwani na Ubunge ambacho kilipelekea kuuzuiwa kugombea na kudai kuwa yeye ni mgombea wa Ubunge tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment