Friday, June 17, 2016

BIASHARA MATIKITIMAJI



 Mfanyabiashara wa Matikitimaji barabara ya 8 Ngamiani Tanga, Abdulhalim Omary, akisubiri wateja wa matunda yake, Tikiti moja lililkuwa likiuzwa 2,500 hadi 4,000 kulingana na ukubwa wake.
Matunda hayo ambayo yako na soko katika masoko ndani na nje ya nchi wafanyabiashara wengi Tanga wamelalamika kukosa soko huko wakielekeza lawama kwa wadau sekta ya Biashara kwa kushindwa kuwatafutia soko la uhakika la kuuzia matunda yao




No comments:

Post a Comment