Watu 36 wauawa Uturuki

Watu 36 wameuawa
katika shambulio la kujitoa muhanga katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Ataturk Istanbul nchini Uturuki,na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwaHata hivyo mashambulizi hayo yalihusisha katika eneo la kuingia katika uwanja huo.
Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan amelaani shambulio hilo na kusisitiza umoja katika kutokomeza vitendo hivyo.
Uturuki imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya kigaidi kutoka pande mbili,kwanza kutoka kwa kundi la Islamic State wanaoingia kutoka nchi jirani ya Syria na waasi wa Kikurud wanataka kuunda dola yao.
BBC
No comments:
Post a Comment