Sunday, June 19, 2016

UBELGIJI KIDEDEA MBELE YA IRELAND

Ubelgiji yailaza Jamhuri ya Ireland

Romelu Lukaku alifunga mabao mawili huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu ya Jamhuri ya Ireland kufika robo fainali.
Baada ya kukamilika kwa kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ilioona lango la mwengine,Lukaku aliifungia Ubelgiji bao la kwanza baada ya kupata pasi muruwa.
BBC

No comments:

Post a Comment