Basi
la NBS linalotoka DAR kwenda TABORA limepata ajali maeneo ya
Gairo Morogoro. Watu 4 wafariki na 10 kujeruhiwa katika ajali hiyo Huku ajali nyingine ya basi la KISBO likijeruhi watu kadhaa
Morogoro. Limepata ajali ya kuparuzana na trailer
flatbed eneo la Magubike Kilosa.
No comments:
Post a Comment