Monday, June 27, 2016

SOKONI NGAMIANI TANGA



Mikungu ya ndizi ikiwa imerundikana soko la Ngamiani Tanga, kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa Waislamu ndizi ni moja ya futari.
Tanga ni moja ya Mikoa inayolima kwa wingi ndizi hasa Mkono wa Tembo ambao hulimwa Amani Muheza.
Ndizi hizi aina ya Mkono wa Tembo ni moja ya futari inayotumiwa vipindi vya Ramadhani ambapo waumini hutumia kama moja ya futari





No comments:

Post a Comment