Kamanda wa Polisi Tanga, Leonard
Poul, akiwaonyesha waandishi wa habari bunduki ya kivita aina ya AK47 iliyokuwa
na risasi 37 iliyokamatwa wakati wa
ukaguzi wa magari kizuizi cha Chekelezi Wilayani Korogwe na mtu anaedhaniwa
kuwa jambazi aliefahamika kwa jina la Benjamin Wales aliyokuwa ameificha katika
begi akiwa akisafiri kutoka Karatu kuelekea Dar es Salaam, Jambazi hilo
liliuwawa na polisi wakati akijaribu kuwatoroka.
Tkribani miezi mitatu jeshi la polsi Tanga limeongeza ulinzi na operesheni maradufu kukabiliana na uhalifu na upitishaji wa wahamiaji haramu na bidhaa za magendo.
Katika siku za hivi karibuni jeshi hilo limefanikiwa kukamata silaha na watuhumiwa wa uhalifu wa matukio mbalimbali
No comments:
Post a Comment