TP MAZEMBE YAIKONGOLI YANGA TAIFA
Mshambuliaji
wa timu ya Yanga,Obrey Chirwa akiichambua ngome ya timu ya TP Mazembe,
katika mtanange uliopigwa jioni hii kwenye dimba la Taifa (Uwanja wa
Taifa) Jijini Dar es salaam, ikiwa ni Mchezo wa Kombe la Shirikisho
Barani Afrika. Hadi kupanga cha mwisho kinalia, Yanga wamelala kwa bao
1-0.
Mashabiki
wakiwa wamefurikwa kwenye uwanja wa Taifa hata hivyo mwishowe
wakaondoka vichwa chini baada ya timu yao kupoteza mchezo huo mbele ya
mahasimu wao TP Mazembe
No comments:
Post a Comment