Sunday, June 19, 2016

UFARANSA YAPEUROAA

Ufaransa yazidi kupaa kileleni Euro

Mechi kali ilikuwa ya piga nikupige kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya 0 - 0.
Milingoti ya magoli ilipata kazi ya ziada kutokana na mikwaju mikali iliyogonga mwamba mara kadhaa.
Pogba akiwakosakosa waswiss mara kadhaa hivi.
Kwa sasa Kundi hilo linaongozwa na Ufaransa pointi 7, Switzland pointi 5, Albania 3, Romania 1.
BBC

No comments:

Post a Comment