Saturday, June 18, 2016

KIZAA ZAA CHA POLISI NA MACHINGA KARIAKOO DAR ES SALAAM

POLISI YAWAONDOA WAMACHINGA WALIOKAIDI AMRI YA KUWATAKA KUONDOKA MTAA KONGO

 Askari Polisi wakizima moto uliokuwa umewashwa na wafanyabiashara ndongondogo ‘maarufu kwa jina la wamacchinga’ waliokuwa wamepanga bidhaa zao chini katika katika mtaa wa Kongo jijini Dar es Salaam leo, wakipinga kuondolewa katika mtaa huo. 
 Polisi wakizima moto uliowashwa na wamachinga.
 Askari wakiwa wameimarisha ulinzi katika mtaa wa Kongo.
 Zoezi la kuzima moto likiendelea.
 Mtaa wa Kongo ukiwa mweupe baada ya kuondolewa kwa wamachinga.
 Wanachi wakipita katika Mtaa wa Kongo bila usumbufu wowote baada ya wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao chini kuondolewa na Polisi leo.
 Gari la Polisi likiwa katika mtaa wa Kongo. 
 Polisi wakiwa Diria.
 Garoi la Polisi likimwaga maji kuzima moto uliokuwa unawaka. 
 Wananchi wakipita kandokando ya magari ya Polisi.
 Polisi wakizima moto.

No comments:

Post a Comment