Mchuuzi wa samaki soko kuu la Deep
Sea Tanga, Zoba Mapesa, akimnadi Pweza kwa wateja waliotaka kumnunua , Pweza
huyo aliuzwa 25,000.
Kwa siku za karibuni Pweza kilikuwa kitoweo adimu na kupelekea kilo kuuzwa 10,000.
Mchuuzi akionyesha moja ya mikia ya Pweza ambaye aliuzwa kwa 20,000 ambapo wateja walikuwa wanahitaji kwa wingi
No comments:
Post a Comment