Thursday, June 30, 2016

TUNDU LISSU APANDISHWA KIZIMBANI

MBUNGE TUNDU LISSU APANDISHWA KIZIMBANI MCHANA HUU.

  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akifika  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.


  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu apandishwa kizimbani mchana huu  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.‪

  Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Tundu Lissu akionesha alama ya chama cha Democrasia na Maendeleo akiwa ndani ya Mahakama  ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu.‪

No comments:

Post a Comment