Makundi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 ukanda wa Afrika
Usiku wa June 23 2016 shirikisho la soka barani Afrika CAF lilichezesha droo ya Makundi ya ukanda wa Afrika, timu ambazo zitawani kufuzu Kombe la dunia 2018 Urusi,
makundi yamepangwa matano na kwa taratibu ukanda wa Afrika unatoa timu
5, hivyo katika makundi hayo matano kila Kundi kinara ndio atafuzu
michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment