Saturday, June 25, 2016

RAMADHANI QAREEM (MAANDALIZI YA IDD)


Waumini wa dini ya Kiislamu Tanga wakinunua kanzu, kofia na vilemba nje ya msikiti wa barabara ya 10 jana mara baada ya Swala ya Ijumaa ikiwa ni ya tatu ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani





No comments:

Post a Comment