Tuesday, June 28, 2016

TIMU 8 ZILIZOINGIA ROBO FAINAL

Timu nane zilizoingia kwenye hatua ya robo fainali Euro 2016


Hatua ya 16 bora ya michuano ya EURO yamalizika tayari timu  zote nane zilizoingia kwenye robo fainali tushazifahamu hii ni baaada ya June 27 2016 kucheza michezo miwili ya mwisho. inawezekana hukupata nafasi ya kufahamu timu nane zilizo fuzu katika hatua ya robo fainali,hizi ndio timu nane zilizofuzu katika fainali.
Cl_up7GXEAA-T2n
mechi za robo fainali zitaanza kuchezwa June 30 2016

No comments:

Post a Comment