Messi ajiuzulu baada ya kukosa penalti

Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa.
Mchezaji
huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti
iliyoiwezesha Chile kuilaza Argentina katika fainali ya mchuano wa Copa
America.BBC
No comments:
Post a Comment