Takatakata zikiwa zimerundikana soko kuu la Mgandini Tanga na kuzagaa hadi maeneo
ya vizimba vya biashara na vya mama ntilie na kutoa harufu kali na wadudu wachafu
kutambaa maeneo yao.
Mbali ya halmashauri ya jiji la Tanga kufanya usafi katika mifereji na masoko kila siku lakini inadaiwa kuwa usafi katika masoko bado hivyo kutakiwa kuongeza kasi kwa wafanyabiashara ili kutunza mazingira yao kuepuka miripuko ya magonjwa.
Eneo la soko la Mgandini likiwa limezungukwa na takataka na wadudu wachafu kuingia ndani ya vizimba vya biashara
No comments:
Post a Comment