Wanafunzi wa Chuo Cha Tamta cha Tanga wakiandamana kusherehekea Maulid
ambayo husherehekea kila mwaka chuoni hapo maarufu kama Tamta Day.
Kila mwaka Chuo hicho hufanya Maulidi na kuwakutanisha wanafunzi na walimu kutoka Mikoa mbalimbali ndani na nje ya nchi.
N i furaha tu kila kona ya jiji la Tanga shamrashamra zikipamba moto
No comments:
Post a Comment