MTAA wa kibiashara na kitovu cha Uchumi chenye mkusanyiko wa watu mbalimbali ndani na nje ya nchi maeneo ya k,koo hasa mtaa wa Kongo na Agrey
Wamachinga wachoma matairi na kusababisha hali ya taaruki katika maeneo
hayo..
Hali hii imetokea baada ya Polisi wa jiji kuwazuia wamachinga kufanya
biashara katika maeneo hayo na kupelekea Baadhi ya wamachinga kukamatwa
na wengine kunyang'anywa mali zao na wakaamua kuchoma matairi na
kufanya vurungu ambazo ziempelekea kuchoma matairi na hali ya utulivu wa watu na mali zao kutoweka.
No comments:
Post a Comment