Picha: Taarifa iliyotufikia kuhusu ajali iliyotokea Shinyanga Punde,Pata Uhondo na Kumekucha Blog
Kupitia kipindi cha ‘Leo Tena’ ya Clouds FM,
imeripotiwa kuhusu tukio la ajali nje kidogo ya Mji wa Shinyanga ambapo
gari aina ya Hiace imepata ajali, mashuhuda wamesema gari hiyo
ilimshinda dereva kwenye kona, ikagonga daraja na kupinduka.
Gari hiyo ilikuwa inatoka Kahama kwenda
Shinyanga ambapo mashuhuda wamesema kuna watu ambao wamefariki na
wengine majeruhi katika ajali hiyo, Kumekucha Blog itakupa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo baada ya kuwasiliana na Kamanda wa Polisi Shinyanga.
Hizi ni picha za katika tukio hilo.






No comments:
Post a Comment