Muuguzi hospitali ya Magunga Wilayani Korogwe Mkoani Tanga, Chevu
Mkufya akiwaonyesha, muuguzi Chuo cha Muhimbili, Elizabert Mwakalina kulia na
Muuguzi mstaafu kutoka Canada, Angella Spencer kulia picha ya mtoto mchanga
akiwa amezalishwa katika kituo ambacho hakitambuliki na kupata athari katika
viungo vyake wakati wa kongamano la Chama Cha Wauguzi Tanzania (TAMA)
ilofanyika jana.
Muuguzi mstaafu kutoka Canada, Angella Spencer akitazama picha katika simu
inayoonyesha madhara ya wazazi kujifungua katika sehemu ambazo hazitambuliki,kushoto ni
muuguzi chuo kikuu cha Muhimbili, Elizabert Mwakalinga wakati wa kongamano
lililoitishwa na Chama Cha Wauguzi Tanzania (TAMA) jana.
No comments:
Post a Comment