Monday, November 24, 2014

Biashara barabarani

Displaying DSCN6081.JPG
 Ndio kama jamaa anavyoonekana akichagua miswele hapo na jamaa wamechangamka

 Displaying DSCN6083.JPG
 Wachuuzi wa samaki barabara ya Tanga, Horohoro wakiwauzia wateja samaki katika mzingira hatarishi ya usalama wa  biashara na wao wenyewe

No comments:

Post a Comment