Wahitimu wa mahafali ya 38 Chuo cha Ufundi Stadi Veta Tanga wakiwa katika maandamano ambapo wahitimu 156 wa kozi mbalimbali walimaliza
Furaha ya kumaliza mafunzo Chuo Cha Ufundi Veta Tanga kama, wahitimu 156 walimaliza
Walicheza na kufurahi hasa pale walipotunukiwa vyeti vyao
Vimbwanga na viburudisho kila aina vilitawala katika mahafali hayo ambayo yalifana
No comments:
Post a Comment