Mchezaji wa timu ya soka ya African Sports ya Tanga, Juma Shemamvuni akiwatoka wachezaji wa Friend s Rangers ya jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi daraja la kwanza Taifa uliochezwa uwanja wa Mkwakwani ambpo timu hizo zilitoka suluju ya kufungana 1 - 1
Mchezaji wa timu ya Friends Rangers Samweli Mihayo akivutwa na mchazi wa timu ya soka ya African Sports ya Tanga katika ligi daraja lwa kwanza uliochezwa uwanja wa Mkwakwani ambapo timu hizo lifunga bao 1 1
Mchezaji wa Friends Rangers ya jijini Dar es Salaama John Alexzenders akiruka juu kuzuia mpira wakati wa ligi daraja la kwanza bngazi ya taifa uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani na timu hizo kutoka suluhu ya bao 1 kwa 1
Washabiki wa timu ya African Sports ya Tanga wakiishangilia timu yao wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza uluiochezwa uwanja wa Mkwakwani na timu hizo kutoka suluhu ya kufungana bao 1 1
Mchezaji wa timu ya soka ya African Rangers Idd Ismail akizuiwa na mchezaji wa timu ya African Sports Mussa Chambega wakati mchezo wa ligi daraja la kwanza na kutoka suluhu ya kufungana kwa bao kwa moja
Soka uwanjani kama hapo wanavyoonekana mchezaji wa timu ya African Sports akijiangusha kudai penalt lakini mwamuzi alimstukizia na mpuira kuamuru kuendela.
Ni hao hao wa kujiangusha mithili ya Winneyy Roney lakini wameshutukiziwa
No comments:
Post a Comment