Wakazi wa barabara 15 kituo cha magazeti Ngamiani Mkoani Tanga wakichagua viatu vya mitumba ambayo ilikuwa ikiuzwa kwa bei chee
Mmoja wa wakazi wa Ngamiani barabara ya 15 Mkoani Tanga akiangalia soli ya kiatu kwa makini baada ya kukinunua kwa bei chee wakati mmoja wa wafanyabiashara alipoumwaga mzigo wake ukitokea majuu.
Mmmiliki wa Blog hii ni Salim Mohammed, Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Tanga, 0655 902929
No comments:
Post a Comment