Thursday, November 20, 2014

Napeleka Dar


 Wafanyabiashara soko kuu la Ngamiani Tanga wakishindilia nazi katika viroba kupeleka Mikoani kutafuta masoko baada ya masoko ya ndani kuwa magumu

 Ndio kama hivyo wako katika mchakamchaka wa kushindilia na kupeleka Dar
Ndio kama wanavyoonekana jamaa hawa wa soko la Ngamini

No comments:

Post a Comment