Sunday, November 23, 2014

Si ndio kiboko yaoooooooooooooooooooooooooooooo

Wachezaji wa Crystal Palace wakiongozwa na nahodha Mile Jedinak wakishangilia bao la nahodha wao .

Hata hivyo Crystal Palace ilirudisha mabao hayo kupitia kwa Mile Jedinak , Dwight Gayle na Joe Ledley.
Matokeo haya yanaifanya Liverpool ibaki kwenye nafasi ya 12 baada ya kupoteza michezo 6 kati ya 12 ya msimu huu kwenye ligi ya England .

Mshambuliaji Ricky Lambert akiifungia Liverpool bao lao pekee kwenye mchezo dhidi ya Crystal Palace.

Kipa wa Liverpool Simon Mignolet akichupa bila mafanikio kuokoa mpira wa adhabu uliopigwa na Mile Jedinak.

No comments:

Post a Comment