Wednesday, November 26, 2014

Tunandikisha



 Karani wa kuandikisha upigaji kura Serikali za mitaa kituo cha Chumvini kata ya Chumbageni Tanga, Frenk Chami akimuandikisha mkazi wa Chumvini Hamis Mfuko. Zoezi la uandikishaji katika maeneo mengi yamekuwa hayana watu na baadhi  kudai kuwa elimu na matangazo  ilikuwa ndogo.




No comments:

Post a Comment