Wanafunzi wa shule ya msingi Mwang'ombe Mkoani Tanga wakipata uji shuleni hapo kama ilivyo ada kwa baadhi ya shule mjini humo. Shule nyiongi hazina utaratibu wa uji na hivyo kuwa chanzo cha wananfunzi kufanya vibaya darasani na mwisho mwaka katika mitihani ya taifa.
Licha ya kuchekelea uji lakini inadaiawa uji huo huwafanya kuwa na usingizi darasani na kuwa sababu ya kufanya vibaya katika mitihani, Badhi ya wazazi wametaka kubadilishwa kwa mfumo huo na badala yake watoto wapewe chai na Chapati.
No comments:
Post a Comment