Wafanyabiashara wa shanga soko kuu la Tangamano Mkoani Tanga wakifanya biashara zao kwa kuwauzia wateja kama wanavyooneka. Hayo ndio mambo ya Tanga, Mmiliki wa Blog hii ni Salim Mohammed, wa Gazeti la Mwananchi Tanga anapatikana kwa simu 0655 902929
Kama anavyoonekana mteja huyo akinunua shanga ikiwa ni kama mapambo ya ndani akichagua ile ambayo atampendezesha mume wake ndani,
Shanga hizo ziko za kila aina na ei yake ni nafuu, unaweza kununua ile ambayo unaona mwenza wako atakufagilia ndani.
Ndio hivyo tena wakazi wa Tanga na vitongoji vyake wakijimwaya mwaya kwa kununua shanga zile ambazo kwao wanaona italeta raha na furaha ndani kwa mwenza wake, Mambo ya Tanga hayo ama kweli Tanga kumekucha, 0655 902929
Ama kweli Tanga kumekucha kila mtu anachagua shanga zile ambazo anaona iwe rangi ama pambo litakalo leta furaha na maliwazo ndani Tanga kumecha
No comments:
Post a Comment