Monday, November 17, 2014

Ujasiri

 Vijana hawa watatu wa mtaa wa msikiti Ngamiani Tanga wakiwa wamapakiza katika baskeli jambo ambalo linaweza kusababisha hatari.
 Tena cha ajabu ni kuwa wanavinjari kwa kupita mitaa yenye msongamano wa magari na pikipiki
Bila woga wamekuwa wakipita katika barabara kuu ikiwemo ya Taifa na ya jamaa ambazo zinajulikana kwa msongomano wa magari kwani kwa sasa jiji la Tanga limekuwa na misongomano mikubwa ya magari baada ya jiji hilo kukuwa kiuchumi na kuwavutia wawekezaji wengi.kwa mawasiliano na mmiliki wa Blog hii 0655 902929

No comments:

Post a Comment