Mapaparazi na ndugu na jamaa wakipiga picha kwa kutumia camera za simu zao wakati wa mahafali ya 14 shule ya awali Hill View ya Korogwe Tanga juzi.
Hakuna kulala kila mtu yuko bize
Kila mtu anaonekana kuonyesha umahiri wake kwa simu aliyonayo
Wenye bsimu za vitochi wameula na chuwa
No comments:
Post a Comment